Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Wizara ya Maji

MAMLAKA YA MAJISAFI NA USAFI WA MAZINGIRA TANGA

(Tanga UWASA)

TAASISI YENYE VIWANGO VYA ISO 9001: 2015
/

usafi wa mazingira

Imewekwa: 06 October, 2024
usafi wa mazingira

Tanga UWASA inalenga kutoa huduma za uhakika, salama na endelevu za usafi wa mazingira, lengo ni kuchangia afya ya jamii na uendelevu wa mazingira katika Jiji la Tanga. Huduma hiyo inatolewa kupitia mfumo wa kati wa majitaka na maeneo ya nje kidogo ya Jiji la Tanga na Miji ya Muheza na Pangani huduma za uondoshaji majitaka hufanywa kupitia magari (cesspit emptier) yaliyosajiliwa na Mamlaka.

Kwa huduma ya gari la kuodnoa majitaka tupigie simu bure kupitia namba 0800110111