Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Wizara ya Maji

MAMLAKA YA MAJISAFI NA USAFI WA MAZINGIRA TANGA

(Tanga UWASA)

TAASISI YENYE VIWANGO VYA ISO 9001: 2015
/

OFA YA KUREJESHA HUDUMA BILA TOZO

Imewekwa: 16 March, 2026

Katika Maadhimisho ya Wiki ya Maji, 2026, Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Tanga (Tanga UWASA) anawataarifu kuwa kutakuwa na ofa maalumu kwa wateja waliositishiwa huduma ya maji kutokana na madeni, kurejeshewa huduma bila kulipia tozo ya kurejeshea huduma (Re-connection fee) 

Hivyo Mkurugenzi Mtendaji anawasihi wateja waliositishiwa huduma kufika kwenye ofisi za Tanga UWASA zilizo karibu nao,ili kuingia makubaliano ya kulipa madeni yao na kurejeshewa huduma bila tozo.

Ofa hii itaanza tarehe 17-13 Machi, 2026