DIRA
Kuwa Mamlaka ya kiwango cha kimataifa katika kumjali mteja kwenye utoaji wa huduma za usambazaji majisafi na usafi wa mazingira.
DHAMIRA
Kutoa huduma bora ya majisafi na usafi wa mazingira katika eneo la huduma kwa njia inayokubalika kimazingira na kwa kutumia watumishi wenye ari ya kazi na dhima ya kumjali mteja.
MAADILI YA UTENDAJI KAZI
Kumjali Mteja
Uwajibikaji
Ushirikiano
Uthamini wa Mazingira
Dhamana