Rais wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano ya Tanzania, Mh. Samia Siluhu Hassan, akizindua rasmi Mradi wa kupeleka Maji Mji wa Muheza katika eneo la Kilapula Tanga
Tenki Kilapula kwa ajili Kuhifadhia Maji kwenye Mradi wa Kupeleka Maji Muheza
Sehemu ya Matenki ya kuhifadhia maji katika Mradi wa Maji Mabokweni
Sehemu ya Mtambo wa Kusafisha na Kutibu Maji Mowe
Sehemu ya wafanyakazi wa TANGAUWASA, wakishiriki katika Sherehe za Uzinduzi wa Mradi wa Uboreshaji wa Huduma ya Maji Katika Jiji la Tanga awamu ya Pili