News

UTEKELEZAJI MRADI WA MAJI MIJI 28 - PANGANI
Wizara ya Maji kwa kushirikiana na Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Jijini Tanga (TANGA UWASA) imeanza rasmi hatua za awali za utekelezaji wa mradi wa Maji wa Miji 28 katika Mji wa Pangani kwa utekelezaji wa kazi za usafishaji wa eneo, uhamishaji wa mabomba na uchimbaji wa msingi kwa lengo la kuandaa eneo litakaotumika katika ujenzi wa tangi kubwa la kuhifadhia maji lenye ujazo wa lita 500,000 katika eneo la Boza. Read More
Posted: Sep 26, 2023

MWIZI WA MAJI ABAINIKA DONGE
Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Jijini Tanga (TANGA UWASA) kwa kushirikiana na jeshi la Polisi yafanikiwa kubaini mwizi wa maji katika eneo la Donge (Maarufu kama kwa Mama Sigara) ambae alikuwa amejiunganishia huduma kinyume na utaratibu ambapo baada ya kubainika huduma imesitishwa katika eneo hilo mpaka pale taratibu za kisheria zitakapo kamilika Read More
Posted: Sep 05, 2023

MRADI WA KUBORESHA HALI YA UPATIKANAJI HUDUMA YA MAJI MUHEZA
Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Jijini Tanga (TANGA UWASA) inatekeleza mradi wa kuboresha hali ya upatikanaji huduma ya maji katika Mji wa Muheza Read More
Posted: July 31, 2023

TANGA WATER SUPPLY IMROVEMENT PROJECT PHASE II COMPLETED
Tanga Water Supply Improvement Project Phase II is now 100% complete Read More
Posted: June 25, 2023