KANDA ZA KIHUDUMA ZA TANGA UWASA
Imewekwa: 05 March, 2026
Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Tanga (TangaUWASA) inapenda kuwajulisha kuwa imeanzisha utartibu wa kutoa huduma kupitia kanda (maeneo) lengo kuu ikiwa ni kurahisisha utoaji huduma na mawasiliano kati ya taasisi na wateja pmoja na wadau wake, hivyo kiambatanishi kimeainisha Kanda za kihuduma, maeneo yanayohudumiwa na kanda hiyo na mawasiliano ya msimamizi wa kanda

