Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Wizara ya Maji

MAMLAKA YA MAJISAFI NA USAFI WA MAZINGIRA TANGA

(Tanga UWASA)

TAASISI YENYE VIWANGO VYA ISO 9001: 2015
/

MALIPO YOTE YA HUDUMA ZA Tanga UWASA YANAFANYIKA KWA KUMBUKUMBU NAMBA YA MALIPO NA SI VINGINEVYO

Imewekwa: 10 August, 2026

Ndugu Mteja,

Tanga UWASA inaendelea kuwakumbusha na kuwasisitiza kuwa malipo yote ya huduma yanafanyika kwa kutumia kumbukumbu namba ya malipo tu yenye tarakimu 12 na huanza na namba 99.........................na si vinginevyo, hivye epuka matapeli USITOE PESA MKONONI KUPATA HUDUMA ZA Tanga UWASA.