Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Wizara ya Maji

MAMLAKA YA MAJISAFI NA USAFI WA MAZINGIRA TANGA

(Tanga UWASA)

TAASISI YENYE VIWANGO VYA ISO 9001: 2015
/ News

Rais Samia aweka jiwe la Msingi mradi wa miji 28 awamu ya kwanza

Imewekwa: 03 March, 2025
Rais Samia aweka jiwe la Msingi mradi wa miji 28 awamu ya kwanza

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mh. Dkt Samia Hassan Suluhu ameweka jiwe la msingi la mradi wa miji 28 awamu ya kwanza utakaohudumia wlaya za Pangani, Handeni, Mheza na Korogwe.


Akizungumza mara baada ya uwekaji wa jiwe la msingi katika moja ya matanki eneo la vibani Handeni, Rais Samia alisema kuwa Wizara ya maji imetoka kuwa Wizara ya lawama hadi kuwa Wizara ya mfano kutokana na usimamizi wa miradi ya maji.