Mabayani Dam - Pande Tanga
Sigi Water

Wafanyakazi wa Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira Jijini Tanga(Tanga UWASA) wakiongozwa na Mkurugenzi wa Tanga UWASA wameshiriki  katika zoezi la kuchangia damu lililofanyika Tarehe 22.03.2016 katika kilele cha wiki ya Maji.Zoezi limefanyika katika Makao Makuu ya Tanga UWASA ambapo lilitanguliwa na zoezi la Uhamasishaji lililofanywa na Wataalamu wa kitengo cha damu salama kutoka hospitali ya rufaa Bombo na kufuatiwa zoezi la kupata chakula kabla ya zoezi la utoaji damu kuanza.Wadau,wateja na raia wengine pia walishirki kuchangia damu kwa hiari

Wafanyazi wa TANGA UWASA walivyochangia damu kwenye kilele cha siku ya Maji Tarehe 22 March.2016..


 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

Last Update

18 April, 2016