Mabayani Dam - Pande Tanga
Sigi Water

TIGO PESA:

 

1. Piga *150*01#

 

2. Bonyeza 4 - kuchagua Malipo.

 

3. Bonyeza 2 - kupata orodha ya kampuni.

 

4. Bonyeza 8 - Malipo ya maji.

 

5. bonyeza 6 - TANGA UWASA.

 

6. Bonyeza 1 - Weka kumbukumbu namba.

 

7. Ingiza Kiasi.

 

8. Ingiza namba ya siri.

VODACOM M-PESA:

 

1. *150*00# kisha piga

 

2. Nenda 4 -lipa kwa M-PESA

 

3. Nenda 3 -Chagua kwenye orodha

 

4. Nenda 7-Malipo Ya Maji

 

5. Nenda 5-Tanga Uwasa

 

6. Nenda 1 -Weka Namba ya akaunti.

 

7. Weka Namba ya Kumbukumbu ya malipo: EPAY NUMBER:......(ipo chini kulia mwa bili yako)

 

8. Weka kiasi Unacholipia

 

9. Weka Namba ya siri

 

10. Weka 1 - kuthibitisha

 

Jinsi ya kulipia Ankara yako ya maji kwa njia ya simu: Tigo pesa na M-pesa


 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

Last Update

16 April, 2016