Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Wizara ya Maji

MAMLAKA YA MAJISAFI NA USAFI WA MAZINGIRA TANGA

(Tanga UWASA)

TAASISI YENYE VIWANGO VYA ISO 9001: 2015
/

Mradi wa Majitaka Duga - Mwembeni

Imewekwa: 06 October, 2024
Mradi wa Majitaka Duga - Mwembeni

Mradi unathamani ya Shilingi Milioni 900 na unahusisha Ujenzi wa Mtandao wa Majitaka kutoka Duga hadi kituo cha kusukuma majitaka Makorora awamu ya tatu ambapo kazi kuu inayotekelezwa ni ulazaji wa mtandao wa mabomba ya majitaka kwa urefu wa km 3.2 na ujenzi wa kituo cha kusukuma majitaka eneo la Mikanjuni kwa lengo la kuboresha huduma hiyo na zaidi ya wananchi 500 katika kata za Duga, Msambweni na Makorora.