Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Wizara ya Maji

MAMLAKA YA MAJISAFI NA USAFI WA MAZINGIRA TANGA

(Tanga UWASA)

TAASISI YENYE VIWANGO VYA ISO 9001: 2015
/

Mradi wa Maji wa EACOP Chongoleani na Muheza

Imewekwa: 06 October, 2024
Mradi wa Maji wa EACOP Chongoleani na Muheza

Mradi unalenga kuboresha hali ya upatikanaji huduma ya maji Chongoleani na Kitisa Muheza kupitia ufadhili wa wawekezaji katika mradi wa kusafirisha mafuta ghafi (EACOP) , ambapo kazi kuu inayotekelezwa ni Ulazaji wa mabomba na kuunganisha wateja na huduma ya majisafi kwa thamani ya Shilingi Bilioni 2.9.