DAWATI LA HUDUMA KWA WATEJA PANGANI
Imewekwa: 07 October, 2026
Katika kuadhimisha Wiki ya Huduma kwa Wateja, Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Tanga (Tanga UWASA) inawakaribisha wananchi na wadau wote wa Mji wa Pangani kutembelea Dawati la Huduma kwa Wateja katika eneo la Sokoni kuanzia Oktoba 07-09, 2026.
Tanga UWASA inawakaribisha katika dawati hilo ili kupata elimun na taarifa mbalimbali kuhusu huduma za taasisi pamoja na kuwasilisha maoni,ushauri na changamoto.
Wote mnakaribishwa.
“The Extra Mile”

